Habari za Punde

Mwenyekiti wa CCM Mhe Samia akutana na Rais wa Saharawi Mhe. Brahim Ghali Dodoma

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)  Mhe.Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Saharawi Mhe. Brahim Ghali mara baada ya Kikao cha Chama kilichofanyika kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi zawadi ya Picha ya Mlima Kilimanjaro Rais wa Saharawi Mhe. Brahim Ghali mara baada ya mazungumzo yao katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma.

 

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya Picha ya ramani ya Bara la Afrika kutoka kwa Rais wa Saharawi Mhe. Brahim Ghali mara baada ya mazungumzo yao katika Ofisi za ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.