Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi ashiriki katika kisomo cha hitma na dua ya kumuombea Marehemu Salim Ahmed Salim Bakhressa Msikiti wa Ijumaa Mchangani

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wananchi na Wanafamilia ya Bakhressa katika kisomo cha hitma na dua ya kumuombea Marehemu Salim Ahmed Salim Bakhressa, iliyofanyika katika Msikiti wa Ijumaa Mchangani Wilaya ya Mjini Unguja na (kulia kwa Rais) Said Salim Bakhressa na Baba Mzazi wa Marehemu Ahmed Salim Bakhressa na (kushoto kwa Rais) Sheikh Mohammed Omar Al Sheikh.(Picha na Ikulu)  
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akitowa mkono wa pole kwa Baba Mzazi wa Marehemu Salim Ahmed Bakhressa, Bw. Ahmed Salim Bakhressa na Said Salim Bakhressa, baada ya kumalizika kwa kisoma cha Dua na Hitma, ya kumuombea marehemu iliyofanyika katika Msikiti wa Ijumaa Mchangani Wilaya ya Mjini Unguja.(Picha na Ikulu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.