Habari za Punde

Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki waapishwa

 

Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb.) akiapa kuwa Mjumbe wa Baraza la Maamuzi la Bunge la Afrika Mashariki (EALA) leo Jijini Arusha

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk akiapa kuwa Mjumbe wa Baraza la Maamuzi la Bunge la Afrika Mashariki (EALA) leo Jijini Arusha


Dkt. Shogo Richard Mlozi akiapishwa kuwa Mbunge wa bunge la EALA

Mhe. Dkt. Abdullah Makame akiapishwa kuwa Mbunge wa bunge la EALA

Mhe. Dkt. Ngwaru Jumanne Maghembe akiapa kuwa Mbunge wa bunge la EALA

Mhe. Angela Charles Kizigha akiapa kuwa Mbunge wa bunge la EALA
Sehemu ya Wabunge wa Bunge la EALA

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.