Habari za Punde

Makamo wa Rais awasili Pemba

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Pemba leo tarehe 09 Januari 2023. Makamu wa Rais amewasili Kisiwani Pemba kuongoza shughuli za ufunguzi wa Miradi mbalimbali ya Maendeleo ikiwa ni miongoni mwa shamrashamra za Miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akisalimiana na viongozi mbalimbali wakati alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Pemba leo tarehe 09 Januari 2023. Makamu wa Rais amewasili Kisiwani Pemba kuongoza shughuli za ufunguzi wa Miradi mbalimbali ya Maendeleo ikiwa ni miongoni mwa shamrashamra za Miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.