Mshambuliaji wa Timu ya Singida Big Stars akijaribu kumpita beki wa Timu ya Mlandege katika mchezo wa Fainali ya Kombe la Mapinduzi Cup, mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Mlandege imeshinda mchezo huo kwa bao 2-1.
BALOZI MATINYI AAHIDI KUITANGAZA TANZANIA KIMATAIFA
-
Na Khadija Kalili
BALOZI wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi, amesema kuwa
atatumia uzoefu alioupata katika kazi yake ya uandishi wa habari ...
14 hours ago
No comments:
Post a Comment