Habari za Punde

Michuano ya 17 ya Kombe la Mapinduzi Zanzibar Yaendelea Katika Uwanja wa Amaan Zanzibar Kati ya Timu ya Aigle Noir na Chipukizi Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu hizo Zimetoka Sare ya Bao 1--1

Kikosi cha Timu ya Chipukizi kutoka Pemba kinachoshiriki Michuano ya 17 ya Kombe la Mapinduzi Zanzibar, katika mchezo wao na Timu ya Aigle Noir kutoka Nchini Burundi uliofanyika leo 2-1-2023 katika Uwanja wa Amaan Unguja Timu hizo zimetoka sare ya bao 1--1 
Kikosi cha Timu ya Aigle Noir  kutoka Nchini Burundi kinachoshiriki Michuano ya 17 ya Kombe la Mapinduzi Zanzibar, katika mchezo wao na Timu ya Chipikizi uliofanyika leo 2-1-2023 katika Uwanja wa Amaan Unguja Timu hizo zimetoka sare ya bao 1--1 

Wachezaji wa Timu ya Aigle Noir kutoka Nchini Burundi wakishangilia bao lao la kuongoza lililofungwa kwa peneti na mchezaji Collin Muhindo katika dakika ya 16, katika mchezo huo wa Kombe la Mapinduzi mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan.Timu hizo zimetika sare ya bao 1-1


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.