Habari za Punde

Zanzibar Cable kutangaza Michuano ya kombe la FAShirika la mpira wa miguu Zanzibar ZFF limeingia makuballiamo na kampuni ya Zanzibar Cable Television kuonmyesha na kutangaza michuano ya kombe la FA kwa m,uda wa miaka mitano 

Makubaliano hayo yametiwa saini na Rais wa ZFF abdullatif Ali na kiongozi wa ZCTY

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.