Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Jaji Mkuu wa Tanzania Ibrahim Hamis Juma pamoja na viongozi wengine katika picha ya pamoja na Majaji wa Mahakama ya Rufani na Mahakama Kuu mara baada ya kuhutubia kwenye Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria Tanzania yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma tarehe 01 Februari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Jaji Mkuu wa Tanzania Ibrahim Hamis Juma pamoja na viongozi wengine katika picha ya pamoja na Watendaji wa Mahakama mara baada ya kuhutubia kwenye Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria Tanzania yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma tarehe 01 Februari, 2023.
Majaji wa Mahakama ya Rufani wakiwa kwenye Viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma kwa ajili ya Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria Tanzania tarehe 01 Februari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Jaji Mkuu wa Tanzania Ibrahim Hamis Juma mara baada ya Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria Tanzania yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma tarehe 01 Februari, 2023
No comments:
Post a Comment