Habari za Punde

Mbunge wa Jimbo la Amani endelea na ziara yake

MBUNGE wa Jimbo la Amani Mhe.Abdul Yussuf Maalim na  Mwakilishi wa Jimbo hilo Rukia Omar Mapuri pamoja na madiwani wa wadi za jimbo hilo, wakikabidhi mabati ya kuezeka Maskani ya CCM ya Mjengoni iliyopo Banda la Mkaa Amani.
MBUNGE wa Jimbo la Amani Mhe.Abdul Yussuf Maalim na  Mwakilishi wa Jimbo hilo Rukia Omar Mapuri pamoja na madiwani wa wadi za jimbo hilo wakikabidhi vifaa mbali mbali kwa madrassa hizo.
MBUNGE wa Jimbo la Amani Mhe.Abdul Yussuf Maalim akizungumza na wananchi wa jimbo hilo(hawapo pichani) katika ziara yake ya utekelezaji wa Ilani ya CCM ya mwaka 2020/2025.
MBUNGE wa Jimbo la Amani Mhe.Abdul Yussuf Maalim na  Mwakilishi wa Jimbo hilo Rukia Omar Mapuri pamoja na madiwani wa wadi za jimbo hilo wakikabidhi jezi kwa timu za jimbo hilo.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.