Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan ahutubia Jukwaa la Biashara la Tanzania na Afrika Kusini, Pretoria

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipotembelea eneo la Makumbusho la Freedom Park Memorial Museum lililopo Pretoria nchini Afrika Kusini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitoa Heshima mara baada ya kuweka shada la maua katika eneo la Makumbusho la Freedom Park Memorial Museum lililopo Pretoria nchini Afrika Kusini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wafanyabiashara wa Tanzania na Afrika Kusini kwenye Mkutano wa Jukwaa la Biashara baina ya nchi mbili uliofanyika katika ukumbi wa Council for Scientific and Industrial Research (CSIR), Pretoria nchini Afrika Kusini
Viongozi mbalimbali pamoja na Wafanyabiashara wa Tanzania na Afrika Kusini wakiwa kwenye Mkutano wa Jukwaa la Biashara baina ya nchi mbili uliofanyika katika ukumbi wa Council for Scientific and Industrial Research (CSIR), Pretoria nchini Afrika Kusini tarehe 16 Machi, 2023.
PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.