RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi
akijumuika na Viongozi mbalimbali wa Serikali na Vyama vya Siasa, Wananchi na Wanafamilia
ya Marehemu Pembe Juma Khamis, katika Sala ya Maiti ya kumuombea Marehemu Pembe
Juma Khamis, aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Donge na Mkuu wa Mkoa wa
Kaskazini Unguja, iliyofanyika katika Msikiti wa Donge Chanjani Wilaya ya
Kaskazini “B” Unguja, leo 6-3-2023b, iliyoongozwa na Kadhi Mkuu wa Zanzibar
Sheikh.Hassan Othman Ngwali
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi
akijumuika na Viongozi wa Serikali na Chama,Wananchi na Wanafamilia wa Marehemu
Pembe Juma Khamis, wakiitikia dua ya kumuyombea Marehemu Pembe Juma Khamis,
aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Donge na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja,
ikisomwa na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Mahmoud Mussa Wadi, baada ya kumalizika
kwa Sala ya Maiti iliyofanyika katika Msikiti wa Donge Chanjani Wilaya ya
Kaskazini “B” Unguja leo 6-3-2023
RAIS
Mstaaf wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Alhajj Ali Hassan Mwinyi akiweka mchanga
katika kaburi la Marehemu Pemba Juma Khamis,aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Donge
na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja. Marehemu Pembe Juma Khamis, maziko
yaliyofanyika Kijiji kwao Donge Chanjani Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja leo
6-3-2023
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi
akiweka mchanga katika kaburi la Marehemu Pembe Juma Khamis, aliyewahi kuwa
Mbunge wa Jimbo la Donge na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja,maziko
yaliyofanyika Kijiji kwao Donge Chanjani Wilaya ya Kaskazini “B”Unguja leo
6-3-2023
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki katika kuitikia dua ya kumuombea
Marehemu Pembe Juma Khamis, aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Donge na Mkuu wa
Mkoa wa Kaskazini Unguja, maziko yaliyofanyika leo 6-3-2023 Kijiji kwao Donge
Chanjani Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja na (kushoto kwa Rais) Rais Mstaaf wa
Tanzania Alhajj Ali Hassan Mwinyi na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdulla, ikisomwa na Kadhi Mkuu wa Zanzibar
Sheikh Hassan Othman Ngwali
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi
akitowa mkono wa pole kwa Familia ya Marehemu Pembe Juma Khamis, alipofika
nyumbani kwa Marehemu Kijijini kwao Donge Chanjani Wilaya ya Kaskazini “B”
Unguja leo 6-3-2023, na (kulia kwa Rais)( Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj
Hemed Suleiman Abdulla na (kushoto kwa Rais)Spika wa Baraza la Wawakilishi
Mhe.Zuberi Ali Maulid
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi
akijumuka na Familia ya Familia ya Marehemu Pembe Juma Khamis,aliyewahi kuwa
Mbunge wa Jimbo la Donge na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakiitikia dua ya
kumuombea Marehemu, ikisomwa na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Hassan Othman
Ngwali, alipofika nyumbani kwa maremu Donge Chanjani kutowa mkono wa pole kwa
familia leo 6-3-2023.na ( kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj
Hemed Suleiman Abdulla na (kushoto kwa Rais)Spika wa Baraza la Wawakilishi
Mhe.Zuberi Ali Maulid.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akitowa
mkono wa pole kwa Majame wa Marehemu Pembe Juma Khamis, alipofika nyumbani kwa
Marehemu Kijijini Kwao Donge Chanjani Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja leo
6-3-2023, na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub
Mohammed Mahmoud
No comments:
Post a Comment