Habari za Punde

Meli ya Kitalii ya Sebourn Sojourn Kutoka Nchini Marekani Yawasili Zanzibar Ikiwa na Watalii 400

Meli kubwa ya Kitalii ya Sebourn Sojourn kutoka nchi ya Marekani, imetia nanga katika bandari ya Zanzibar ikiwa na Watalii 400.

WAZIRI wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, Simai Mohamed Said (kulia), akimkabidhi zawadi ya mlango wa Zanzibar, Kyriakos Karras, Captini wa Meli ya Kitalii ya Sebourn Sojourn kutoka nchi ya Marekani.





No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.