RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akisalimiana na Prof. Patrick Lumumba na Viongozi wengine alipowasili katika
viwanja vya ukumbi wa Sheikh.Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini
Unguja Jijini Zanzibar leo 25-4-2023, kuhudhuria Kongamano la Maadhimisho Miaka
59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar lililofanyika katika ukumbi huo.
BAADHI
ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, wakishangilia wakati Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akiwasili katika ukumbi wa mkutano wa Sheikh.Idrissa Abdulwakil Kikwajuni
Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar kwa ajili ya kulifungua Kongamano la
Maadhimisho ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, lililofanyika
katika ukumbi huo leo 25-4-2023
MTOA
Mada Prof. Patrick Lumumba akisisitiza jamba wakati akiwasilisha Mada yake
Umuhimu wa Muungano, Umoja Katika Bara la Afrika (Maadili Yetu Ndio Ngao Yetu)
wakati wa Kongamano la Kuadhimisha Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na
Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrissa Abdulwakil Kikwajuni
Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 25-4-2023
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akifuatilia Mada ya Umuhimu wa Muungano Umoja Katika Bara la Afrika (Maadili
Yetu Ndio NgaoYetu) ikiwasilishwa na Prof. Patrick Lumumba,katika ukumbi wa
Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar
wakati wa Maadhimisho ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na
(kulia kwa Rais) Mhe. Stephen Masatu Wasira na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa
Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa
MTOA
Mada Mhe. Stephen Masatu Wasira akiwasilisha Mada yake kuhusu Historia ya
Umuhimu wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, wakati wa Kongamano la
Kuadhimisha Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar,lililofanyika katika
ukumbi wa Sheikh.Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini
Zanzibar leo 25-4-2023
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipiga
makofi kumpongeza Mwasilishaji wa Mada Mhe. Stephen Wasira, wakati akiwasilisha
Mada yake katika Kongamano la Kuadhimisha Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na
Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrissa Abdulwakil Kikwajuni
Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 25-4-2023
MTOA
Mada Mhe.Balozi Mohammed Haji Hamza akiwasilisha Mada yake kuhusu Fursa Ziliopo
kwa Vijana Ndani ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, wakati wa Kongamano la
Kuadhimisha Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar,lililofanyika katika
ukumbi wa Sheikh.Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini
Zanzibar leo 25-4-2023
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akihutubia na kulifungua Kongamano la Kuadhimisha Miaka 59 ya Muungano wa
Tanganyika na Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrissa
Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 25-4-2023
MAWAZIRI
wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa
Kongamano la Kuadhimisha Miaka 59 ya Muungano wa Zanzibar na Tanganyika, wakati
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinbduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Kongamano hilo lililofanyika
katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja
Jijini Zanzibar
BAADHI
ya Wanafunzi mbalimbali na Wananchi wakishiriki katika Kongamano la Kuadhimisha
Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar,lililofanyika katika ukumbi wa
Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo
25-4-2023, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyeki wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Kongamano
hilo lililofanyika katika ukumbi huo
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akihutubia na kulifungua Kongamano la Kuadhimisha Miaka 59 ya Muungano wa
Tanganyika na Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrissa
Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 25-4-2023.
BAADHI
ya Viongozi wa Vyama Vya Siasa wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Kongamano la
Maadhimisho ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar lililofanyika
katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja
Jijini Zanzibar
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akiagana na Prof. Patrick Lumumba baada ya kulifungua Kongamano la Kuadhimisha
Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa
Sheikh.Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo
25-4-2023 na (kulia kwa Rais) Mhe. Stephen Wasira.
No comments:
Post a Comment