Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akutana na Balozi wa Muungano wa Umoja wa Falme za Kiarabu Nchini Tanzania (UAE), Ikulu Ndogo Tunguu Zanzibar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi wa (UAE) Nchini Tanzania Mhe. Khalifa Abdulrahman Almarzouqi alipofika Ikulu Ndogo Tunguu Zanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Muungano wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Sheikh Zayed Al Nahyan uliowasilishwa na Balozi wa (UAE) Nchini Tanzania Mhe. Khalifa Abdulrahman Almarzouqi Ikulu Ndogo Tunguu Zanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na  Balozi wa (UAE) Nchini Tanzania Mhe. Khalifa Abdulrahman Almarzouqi mara baada ya kukabidhi Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Muungano wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Sheikh Zayed Al Nahyan Ikulu Ndogo Tunguu Zanzibar 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa (UAE) Nchini Tanzania Mhe. Khalifa Abdulrahman Almarzouqi alipofika Ikulu Ndogo Tunguu Zanzibar tarehe 25 April 2023.
Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.