Mheshimiwa Dkt. Kikwete, ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Kimataifa inayoshughulikia Masuala ya Elimu Duniani (Global Partnership for Education) - GPE) yuko Seoul, Korea Kusini kwa ajili ya kukutana na viongozi wa Serikali na Mashirika Mbalimbali ya Korea Kusini kwa ajili ya kujadili mikakati ya kuendelea kuboresha elimu katika nchi zinazoendelea. GPE ambayo ilianzishwa na nchi za G7 miaka 20 iliyopita, imeendelea kupigania elimu kwa ajili ya mtoto wa kike na wa kiume kwa kuomba kuungwa mkono na nchi na taasisi zinazoweza kuchangia katika elimu duniani.
UJENZI WA CHUO KIKUU MZUMBE KAMPASI YA TANGA WASHIKA KASI
-
Msimamizi wa Mradi upande wa Mkandarasi (Dimetoclasa Real Hope Limited)
Mhandisi John Bhoke akieleza kuhusu hali ya maendeleo ya ujenzi wa Kampasi
mpy...
6 minutes ago
No comments:
Post a Comment