Habari za Punde

Harakati katika Soko Kuu la Samaki Malindi Unguja

Wananchi wa Jiji la Zanzibar wakiwa katika harakati za kujipatia mahitaji ya Samaki kwa ajili ya kitoweo katika  mlo na matumizi mengine, kama inavyoonekana pichani wakiwa katika Soko kuu la Samaki Malindi Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.