Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Atembelea Hospitali ya Rufaa Dodoma

 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wa Hospitali ya Rufaa Dodoma wakati alipotembelea hospitali hiyo na kuwajulia hali wangonjwa Mei 8, 2013. Kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Hospitali hiyo Dkt. Ibenzi Ernest, Mkurugenzi wa Huduma za Uuguzi Stanley Mahundo, Katibu Joel Kiluvia na Daktari Muhsin Chikota.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Bi. Monica Kayega kushoto na Odeta Elias ambao walikwenda kupata matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Dodoma Mei 8, 2023. Kulia ni Mkurugenzi wa Hospitali hiyo Dkt. Ibenzi Ernest na wanne kushoto ni Mkurugenzi wa Huduma za Uuguzi Stanley Mahundo.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.