Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo akizungumza na Balozi wa Canada nchini, Mhe. Kyle Nunas katika Ofisi ndogo za Wizara Jijini Dar es Salam.
WAZIRI NDALICHAKO: WALIMU TARAJALI KUANZA KUFUNDISHWA LUGHA YA ALAMA
-
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi,Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu
Mhe. Prof.Joyce Ndalichako akizungumza katika kilele cha wiki ya Viziwi
kitaifa k...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment