Habari za Punde

TAMWA Zanzibar Wakutana Kujadili Sera ya Jinsia katika Vyombo vya Habari

Mkurugenzi wa chama cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA) Zanzibar Dkt.Mzuri Issa akizungumza na wakuu wa madawati ya kijinsia katika vyombo vya habari , na wahariri wa vyombo vya habari wakati walipokua katika mkutano maalum wa kuthibitisha na kutoa maoni  kuhusiana na sera ya kijinsia kutumika katika vyombo vya habari huko Ofisi za TAMWA Tunguu Zanzibar

Mkufunzi Chuo Kikuu cha Taifa Suza Imane Duwe akizungumza wakati alipokua akiwasilisha sera ya jinsia kwa wakuu wa madawati ya kijinsia katika vyombo vya habari na wahariri wa vyombo vya habari  wakati walipokua katika mkutano maalum wa kuthibitisha na kutoa maoni  kuhusiana na sera ya kijinsia kutumika katika vyombo vya habari huko Ofisi za TAMWA Tunguu Zanzibar.
 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.