Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiweka Saini katika
kitabu cha maombolezo ya kifo cha Dada yake Marehemu Bi. Maria Isdor
Nzabhayanga mara baada ya kuwasili msibani katika Kijiji cha Kipalapala mkoani
Tabora leo tarehe 29 Agosti 2023.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango
akiwa pamoja na ndugu, jamaa na marafiki katika kuomboleza kifo cha Dada yake
Marehemu Bi. Maria Isdor Nzabhayanga mara baada ya kuwasili msibani katika Kijiji
cha Kipalapala mkoani Tabora
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango
akiwa pamoja na ndugu, jamaa na marafiki katika kuomboleza kifo cha Dada yake
Marehemu Bi. Maria Isdor Nzabhayanga mara baada ya kuwasili msibani katika Kijiji
cha Kipalapala mkoani Tabora.
No comments:
Post a Comment