Habari za Punde

Matukio ya Picha Kutoka Bungeni Dodoma

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Spika wa Bunge Tulia Ackson (kushoto) wakizungumza na Mbunge wa Manonga, Seif Khamis Gulamali (kulia) na Mbunge wa Gairo Ahmed Shabiby kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na  Spika wa Bunge Tulia Ackson (kushoto) na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja (kulia), kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Agosti 29, 2023(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.