Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi mgeni rasmi katika uzinduzi wa ngumi za kulipwa Zanzibar uwanja wa Mao

Bondia Karim Mandonga akirusha ngumi aliyoipa jina Kizimkazi Buluu dhidi ya mpizani wake Muller Junior, katika mchezo wa uzinduzi wa Ngumi za kulipwa Zanzibar uliofanyika katika Uwanja wa Mao Zedung Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar tarehe 27-8-2023 usiku na kuzinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, katika mchezo huo  bondia Muller Junior ameshinda.
MCHEZO wa Uzinduzi wa Ngumi za Kulipwa Zanzibar  (Vitasa)kati ya Karimu Mandonga na Muller Junior uliofanyika jana usiku 27-8-2023 katika Uwanja wa Mao Zedung Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, baada ya kuzinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, katika mchezo huo Bondia  Muller Junior ameshinda.
MASHABIKI wa Mchezo wa Ngumi za kulipwa Zanzibar  (Vitasa) wakishangilia mchezo wa ufunguzi wa Ngumi za kulipwa kati ya Karim Mandonga na Muller Junior, uliofanyika jana usiku katika uwanja wa Mao Zedung Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.
MSANII wa Muziki wa Kizazi  kipya Bongo Flava Ali Kiba  akifuatilia mchezo wa  ufunguzi wa Ngumi za Kulipwa Zanzibar (Vitasa ) kati ya Karimu Mandonga na Muller Junior, baada ya kuzinduliwa ngumi za kulipwa Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza lac Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi jana usiku 27-8-2023, katika uwanja wa Mao Zedung Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipiga makofi na viongozi wa meza kuu kwa kuwapongeza Mabondia wa Mchezo wa Ngumi za Kulipwa Zanzibar, walioshiriki katika uzinduzi huo, kwa kuonesha ufundi wao na kuwashinda wapinzani wao wakati wa ufunguzi huo , uliofanyika jana usiku 27-8-2023 katika Uwanja wa Mao Zedung Wilaya ya Mjini Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuzindua  Mchezo wa Ngumi za Kulipwa Zanzibar, uzinduzi huo uliofanyika katika Uwanja wa Mao Zedung Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar jana usiku 27-8-2023.(Picha na Ikulu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.