Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Mwinyi Atembelea Maonesho ya Siku ya Wakulima Zanzibar Nanenane Viwanja vya Kizimbani

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza Mkuu wa Wataalamu wa Kilimo, Idara ya Kilimo  Zanzibar Ndg.Salum Rehani, akitowa maelezo ya Mlo bora kwa Siku ukiwa na mchanganyiko wa vyakula mbalimbali vya Uwanga, wakati akitembelea banda hilo baada ya kuyafungua Maonesho ya Nanenane ya Kilimo 2023 katika viwanja vya Kizimbani Dole Wilaya ya Magharibi “A”Unguja leo 1-8-2023

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (kulia kwa Rais)  wakimsikiliza Dkt. Faki Ame Mkuu wa Uzalishaji wa Mifugo Idara ya Maendeleo ya Mifugo Zanzibar, akitowa maelezo ya Mmoja wa Ngombe wa maziwa, wakati akitembelea maoneso ya Kilimo Nanenane katika banda la Mifugo yanayofanyika katika viwanja vya Kizimbani Dole Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 1-8-2023, baada ya kuyafungua
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsiliza Kamishna wa Chuo cha Mafunzo Zanzibar CP.Khamis Bakar Khamis, wakati  akitembelea Shamba Darasa la Chuo cha Mafunzo Zanzibar katika viwanja vya Kizimbani Dole Wilaya ya Magharibi “A” Unguja baada ya kuyafungua Maonesho ya Nanenane ya Kilimo Zanzibar, yanayofanyika katika viwanja viwanja hivyo,baada ya kuyafungua leo 1-8-2023 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Kilimo Umwagaliaji,Maliasili na Mifugo Zanzibar Mhe. Shamata Shaame Khamis
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akivuna miwa katika Shamba Darasa la Chuo cha Mafunzo Zanzibar, katika viwanja vya Maonesho ya Nanenane ya Kilimo Zanzibar Kizimbani Dole Wilaya ya Magharibi “A” Unguja baada ya kuyafungua maonesho hayo leo 1-8-2023 na (kulia kwa Rais) Waziri wa Kilimo,Umwagiliaji,Maliasili na Mifugo Zanzibar Mhe.Shamata Shaame Khamis na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akivuna miwa katika Shamba Darasa la Chuo cha Mafunzo Zanzibar, katika viwanja vya Maonesho ya Nanenane ya Kilimo Zanzibar Kizimbani Dole Wilaya ya Magharibi “A” Unguja baada ya kuyafungua maonesho hayo leo 1-8-2023 na (kulia kwa Rais) Waziri wa Kilimo,Umwagiliaji,Maliasili na Mifugo Zanzibar Mhe.Shamata Shaame Khamis na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakipata maelezo ya ufugaji wa Samaki aina ya Sato kutoka kwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Prof.Moh’d Makame Haji, akitowa maelezo wakati akitembelea mabanda ya maonesho ya Nanenane ya Kilimo Zanzibar, katika viwanja vya Kizimbano Dle Wilaya ya Magharibi “A” Unguja baada ya kuyafungua maonesho hayo leo 1-8-2023. Na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakitembelea banda la Maonesho la Kampuni ya BIZAGROVENT na kupata maelezo kutoka kwa Mwenyekiti kampuni hiyo Ndg. Ismail Mohammed Hamed, wakati akitembelea Maonesho ya Nanenane ya Kilimo Zanzibar 2023 , baada ya kuyafungua katika viwanja vya Kizimbani Dole Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 1-8-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakitembelea banda la maonesho la KMKM katika viwanja vya Kizimbani Dole Wilaya ya Magharibi “A” Unguja wakipata maelezo ya Ndege isiyo na Rubani (Drone) inayotumika katika uchunguzi wa Maafa Baharini na Matukio ya Nchi kavu kutoka kwa Kamanda Hussein Makame Ali. baada ya kuyafungua Maonesho ya Nanenane ya Kilimo Zanzibar 2023. Katika viwanja hivyo leo 1-8-2023.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakitembelea banda la Maonesho ya Benki ya CRDB katika viwanja vya  Kizimbani Dole Wilaya ya Magharibi “A” Unguja, wakisikiliza Meneja Mahusiano Kilimo na Biashara Ndg.Ronald Melkiory, baada ya kuyafungua Maonesho ya Nanenane ya Kilimo Zanzibar leo 1-8-2023 na (kushoto kwa Rais)  ) Waziri wa Kilimo,Umwagiliaji,Maliasili na Mifugo Zanzibar Mhe.Shamata Shaame Khamis


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.