Wanafunzi mbalimbali wakijitokeza kupata taaluma za namna ya kujiunga na Elimu ya Juu ikiwa ni siku ya nne ya maonesho ya 4 ya wiki ya Elimu ya Juu huko Maisara Mkoa wa Mjini Magharib Unguja.
MSAFARA WA BAISKELI WA TWENDE BUTIAMA 2025 WAANZA RASMI KUTOKA DAR ES SALAAM
-
Dar es Salaam, Julai 2, 2025
Msafara wa baiskeli wa Twende Butiama mwaka 2025 umeanza rasmi leo jijini
Dar es Salaam, ukiwa na waendesha baiskeli zaidi ya ...
39 minutes ago
No comments:
Post a Comment