Habari za Punde

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Znzibar Mhe Lela Muhamed Ametembelea na Kukagua Mradi wa Ujenzi wa Skuli ya Munduli

Muonekano wa Jengo jipya la Skuli ya Sekondari ya Munduli Wilaya ya Magharibi "A" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja  likiendelea na ujenzi wake kama linavyonekana pichani likiwa katika hatua za mwisho za ujenzi huo

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Lela Muhamed Mussa, akikagua ujenzi wa Mradi wa Skuli ya Sekondari ya Munduli Wilaya ya Magharibi "A" Unguja, kujionea maendeleo ya ujenzi huo, alipofanya ziara jana 17-8-2023.

Muonekano wa Eneo la ndani la Skuli ya Sekondari ya Munduli Wilaya ya Magharibi "A" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linaloendelea na ujenzi wake.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.