Habari za Punde

Mkurugenzi Utumishi Wizara ya Habari Amefanya Ziara Kutembelea ZGP Maruhubi

Mkurugenzi Utumishi Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo Rashid Hamdu Makame ( kushoto)akizungumza neno alipoingia katika Ofisi ya Dizaini Machapisho wakati alipofanya ziara yenye lengo la kuwasikiliza Wafanyakazi na kuwapatia maelekezo ya utendaji wa kazi katika Wakala wa Serikali  Uchapaji(ZGP )  Maruhubi Mjini Zanzibar.
Mkurugenzi Utumishi Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo Rashid Hamdu Makame (wapili kushoto)akimsikiliza Mkurugenzi Idara ya Raslimali watu Mipango na Utawala Salum Khamis Rashid (watatu kushoto)wakati alipofanya ziara yenye lengo la kuwasikiliza Wafanyakazi na kuwapatia maelekezo ya utendaji wa kazi katika Wakala wa Serikali  Uchapaji(ZGP )  Maruhubi Mjini Zanzibar.

Mkurugenzi  Idara ya Raslimali watu Mipango na Utawala Salum Khamis Rashid akitoa hotuba ya Makaribisho kwa Mkurugenzi Utumishi Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo Rashid Hamdu Makame  wakati alipofanya ziara yenye lengo la kuwasikiliza Wafanyakazi na kuwapatia maelekezo ya utendaji wa kazi katika Wakala wa Serikali  Uchapaji(ZGP )  Maruhubi Mjini Zanzibar.
Rais wa Wafanyakazi wa  Wakala wa Serikali  Uchapaji(ZGP )  Ali Vuaa Suleiman akiuliza maswali katika ziara ya Mkurugenzi Utumishi Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo Rashid Hamadu Makame yenye lengo la kuwasikiliza Wafanyakazi na kuwapatia maelekezo ya utendaji wa kazi katika Wakala wa Serikali  Uchapaji(ZGP )  Maruhubi Mjini Zanzibar.

Mkurugenzi Utumishi Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo Rashid Hamdu Makame akizungumza na wafanyakazi wakati alipofanya ziara yenye lengo la kuwasikiliza Wafanyakazi na kuwapatia maelekezo ya utendaji wa kazi katika Wakala wa Serikali  Uchapaji(ZGP )  Maruhubi Mjini Zanzibar.
 PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.07-09-2023.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.