RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akiwa na Viongozi Wakuu wa Serikali, katika hafla ya kuapishwa kwa Mawaziri na
Makatibu Wakuu waliochaguliwa hivi karibuni, hafla hiyo ya kuapishwa
iliyofanyika Ikulu Ndogo Tunguu Wilaya ya Kati Unguja leo 1-9-2023, na (kushoto
kwa Rais) Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Philip
Isdor Mpango na (kulia kwa Rais) Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Kassim Majaliwa, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman
Abdulla, Spika wa Bunge la Tanzania Mhe.Dkt.Tulia Ackson,Jaji Mkuu wa Tanzania
Mhe. Prof.Ibrahim Hamis Juma, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt.Moses M. Kusiluka
na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed
Said

RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akizungumza wakati wa hafla ya kuapishwa kwa Mawaziri,Mabalozi na Makatibu
Wakuu katika viwanja vya Ikulu Ndogo Tunguu Wilaya ya Kati Unguja leo 1-9-2023
RAIS
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan akizungumza baada
ya kuwaapisha Mawaziri, Manaibu Mawaziri, Mabalozi na Makatibu Wakuu, katika viwanja vya Ikulu
Ndogo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo 1-9-2023.
WAGENI
Waalikwa Viongozi wa Serikali na Vyama vya Siasa wakifuatilia kuapishwa kwa
Mawaziri, Mabalozi na Makatibu Wakuu, iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu
Ndogo Tunguu Wilaya ya Kati Unguja leo 1-9-2023, wakati Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan akiwaapisha

wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan akielekea katika
eneo lililoandaliwa kwa ajili ya upigaji wa picha za kumbukumbu baada ya
kumaliza kuwaapisha Viongozi aliowachagua hivi karibuni na (kulia kwa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Philip Isdor Mpango
na (kushoto kwa Rais) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Ndogo
Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo 1-9-2023.
RAIS
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan akielekea katika
eneo lililoandaliwa kwa ajili ya upigaji wa picha za kumbukumbu baada ya
kumaliza kuwaapisha Viongozi aliowachagua hivi karibuni na (kulia kwa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Philip Isdor Mpango
na (kushoto kwa Rais) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Ndogo
Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo 1-9-2023.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akisalimiana na kumpongeza Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
(Uratibu wa Shughuli za Serikali) na Waziri wa Nishati Tanzania.Mhe.Dkt.Doto
Mashaka Biteko, baada ya kuapishwa leo 1-9-2023, na Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan,hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja
vya Ikulu Ndogo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akiagana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan, baada ya kumalizika kwa uapisho kwa Mawaziri,Manaibu Mawaziri,Mabalozi na Makatibu Wakuu walioteuliwa hivi karibuni, halha hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Ndogo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo 1-9-2023.
No comments:
Post a Comment