Habari za Punde

Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Mhe.Ussi Salum Pondeza (Amjad) Ataka Mchezo wa Fainali Kati ya Kasa Kombaini na Baghdadi Kurudia. Baada ya Kukabidhi Zawadi kwa Timu Hizo

Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar Mhe. Ussi Salum Pondeza akizungumza na Wananchi na Wanamichezo katika mchezo wa Fainali ya Kati ya Timu ya Baghdadi na Kasa Kombaini mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Karakana Chumbuni. Timu ya Kasa Kombaini imeobuka mshindi katika mchezo huo kwa mikwaju ya penenti 5-3.
Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar Mhe.Ussi Salum Ponndeza (Amjad) akimkabidhi zawadi ya Jezi , Mipira na Fedha taslim Nahodha wa Tmu ya Kasa Kombaini Ali Yussuf Ali, baada ya Timu yake kuibuka mshindi katika mchezo wa Fainali uliyofanyika Uwanja wa Karakana Chumbuni kwa mikwaju ya penenti 5-3.
Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar Mhe.Ussi Salum Pondeza (Amjad) akiwa katika picha ya pamoja na Timu ya Baghdadi iliyoshiriki mchezo wa Fainali na Timu ya Kasa Kombaini uliyofanyika katika Uwanja wa Karakana Chumbuni.
Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar Mhe.Ussi Salum Pondeza (Amjad) akiwa katika picha ya pamoja na Timu ya Kasa Kombaini  iliyoshiriki mchezo wa Fainali na Timu ya Baghdadi uliyofanyika katika Uwanja wa Karakana Chumbuni.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.