Habari za Punde

Rais Dk HUssein Mwinyi atembelea Mradi wa Ujenzi wa Mabanda ya Maonesho Nyamanzi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja

MUONEKANO wa picha za majengo ya Mradi wa ujenzi wa mabanda ya maonesho Nyamanzi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa (kushoto kwa Rais)  na Viongozi mbalimbali alipowasili katika eneo la Mradi wa Ujenzi wa Mabanda ya Maonesho Nyamanzi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, kukagua maendeleo ya ujenzi huo leo 29-10-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Ndg. Rashid Ali Salim, akitowa maelezo ya michoro ya majengo ya mabanda ya maonesho yanayojengwa katika eneo la Nyamanzi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, alipofanya ziara ya kutembelea Mradi huo leo 29-10-2023 na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutowa maagizo kwa Viongozi wasimamizi wa Mradi wa ujenzi wa Mabanda ya Maonesho Nyamanzi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 29-10-2023, baada kutembelea mradi huo na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Jeshi la Kujenga Uchumi Zanzibar (JKU) Kanali Makame Abdalla Daima .(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisisitiza jambo baada ya kupokea taarifa za Ujenzi wa Mradi wa Mabanda ya maonesho yanayojengwa katika eneo la Nyamanzi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, akiwa katika ziara yake kukagua ujenzi wa mradi huo leo 29-10-2023.(Picha na Ikulu)


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Ndg. Rashid Ali Salim, wakati akitembelea Mradi wa Ujenzi wa Mabanda ya Maonesho Nyamanzi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 29-10-2023.na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa.(Picha na Ikulu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.