Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu,
Waziri wa Afya (Zanzibar) Mhe. Nassor Mazrui, pamoja na Wakuu wa Mikoa wakati
akikata utepe kuashiria uzinduzi wa magari ya kubebea Wagonjwa na Magari ya Usimamizi
Shirikishi na Vifaa tiba kwenye hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa
Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe.
Waziri Kindamba mfano wa Ufunguo kwa ajili ya Gari la Wagonjwa la Wilaya ya
Handeni Mkoani Tanga kwenye hafla ya iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa
Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Wakuu wa Mikoa mara
baada ya kuzindua na kugawa magari ya kubebea Wagonjwa na Magari ya Usimamizi
Shirikishi na Vifaa tiba kwenye hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa
Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo mara baada ya kuzindua
magari ya kubebea Wagonjwa na Magari ya Usimamizi Shirikishi kwenye hafla
iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere
Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipiga makofi mara baada ya kuzindua
magari ya kubebea Wagonjwa na Magari ya Usimamizi Shirikishi kwenye hafla
iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere
Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo kabla kugawa Vifaa Tiba
kwenye hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu
Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua mabanda mbalimbali ya masuala ya
Afya mara baada ya kuzindua magari ya kubebea Wagonjwa na vifaa tiba kwenye
hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius
Nyerere Jijini Dar es Salaam

Wadau wa Afya pamoja na Wageni mbalimbali waliohudhuria
hafla ya uzinduzi wa Ripoti ya Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria
vya Malaria Tanzania 2022, Ugawaji wa Magari ya kubebea Wagonjwa na Vifaa Tiba wakiwa
kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es
Salaam tarehe 28 Oktoba, 2023..jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wakuu wa Mikoa mara baada ya kuwasili
kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es
Salaam tarehe 28 Oktoba, 2023.
No comments:
Post a Comment