Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Kombe la Ubingwa wa Afrika
Mashariki na Kati chini ya Umri wa miaka 15 (CECAFA U-15) kutoka kwa Nahodha wa Timu
ya Taifa ya Vijana Zanzibar chini ya umri wa miaka 15 (Karume Boys) Mohamed Ali Mohamed wakati wa hafla ya
kuwapongeza Wachezaji na Viongozi wa
Timu ya Karume Boys, Ikulu Tunguu Zanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akinyanyua juu Kombe la Ubingwa wa Afrika
Mashariki na Kati chini ya Umri wa miaka 15 (CECAFA U-15) mara baada ya
kukabidhiwa na Nahodha wa Timu ya Taifa ya Vijana Zanzibar chini ya umri
wa miaka 15 (Karume Boys) Mohamed
Ali Mohamed wakati wa hafla ya kuwapongeza Wachezaji
na Viongozi wa Timu ya Karume Boys, Ikulu Tunguu Zanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya Kipa Bora Gloves
kutoka kwa Kipa bora wa Mashindano ya CECAFA U-15 Mahir Abdallah Amour wakati wa hafla ya
kuwapongeza Wachezaji na Viongozi wa
Timu ya Karume Boys, Ikulu Tunguu Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali pamoja
na Wachezaji wa timu ya Taifa ya Zanzibar chini ya umri wa miaka 15 (Karume
Boys) wakati wa hafla ya kuwapongeza iliyofanyika Ikulu Tunguu Zanzibar tarehe
25 Novemba, 2023.
Wachezaji wa Timu ya Taifa
ya Vijana Zanzibar chini ya umri wa miaka 15 (Karume Boys) wakiwa kwenye hafla ya Chakula cha mchana
walichoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Ikulu Tunguu Zanzibar
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye hafla ya Chakula cha mchana
walichoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Ikulu Tunguu Zanzibar
Benchi la Ufundi la timu ya
Taifa ya Vijana Zanzibar chini ya umri wa miaka 15 (Karume Boys) wakiwa kwenye hafla ya Chakula cha mchana

Wachezaji wa Timu ya
Karume Boys wakicheza muziki wa Taarabu wakati wa hafla ya kuwapongeza
iliyofanyika Ikulu Tunguu Zanzibar
No comments:
Post a Comment