Habari za Punde

Vodacom Tanzania Yakabidhi Bima ya Afya kwa Watoto na Mama Zanzibar

WATENDAJI wa Kampuni ya Vodacom wamekabidhi mfano wa kadi ya bima ya Afya kwa Watoto na Mama zao 200 waliojifungua katika hospitali ya Rufaa Mnazi mmoja kuanzia Novemba 9, 2023, ikiwa ni miongoni mwa kuwapatia zawadi ya upendo wateja wake kila ifikapo mwisho wa mwaka
WATENDAJI wa Kampuni ya Vodacom wakiwa katika picha ya pamoja na Wauguzi na Madaltari wa Wodi ya Watoto katika Hospitali ya Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar baada ya kukabidhi mfano wa kadi ya bima ya Afya kwa Watoto na Mama zao 200 waliojifungua katika hospitali ya Rufaa Mnazi mmoja kuanzia Novemba 9, 2023, ikiwa ni miongoni mwa kuwapatia zawadi ya upendo wateja wake kila ifikapo mwisho wa mwaka
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.