Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Amekutana na Katibu Idara ya Uenezi CCM Ndg. Makonda

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Itikadi na Uenezi, Paul Makonda kabla ya mazungumzo yao ofisini kwa Waziri Mkuu, Bungeni jijini Dodoma,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Itikadi na Uenezi, Paul Makonda kabla ya mazungumzo yao ofisini kwa Waziri Mkuu, Bungeni jijini Dodoma,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Itikadi na Uenezi, Paul Makonda, ofisini kwa Waziri Mkuu, Bungeni jijini Dodoma, Novemba 2, 2023. (Picha na Ofisi ya Wziri Mkuu)
 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.