Habari za Punde

Zuchu na Dulla Makabila Watowa Burudani Katika Mkutano wa Kumpongea Dk.Mwinyi kwa Uongozi wake wa Miaka Mitatu Viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar

 

Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya (Bongo Flava ) Dulla Makabila akitowa burudani katika hafla ya mkutano maalum wa kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa uongozi wake wa Miaka Mitatu, mkutano huo uliyofanyika katika Viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar leo 4-11-2023.

Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya (Bongo Flava ) Zuchu akitowa burudani katika hafla ya mkutano maalum wa kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa uongozi wake wa Miaka Mitatu, mkutano huo uliyofanyika katika Viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar leo 4-11-2023.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.