Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Mwinyi Ameweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mradi wa Maegesho ya Magari eneo la Viwanja vya Mchangani Wilaya ya Mjini Unguja Ikiwa ni Shamra Shamra za Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi  akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mradi wa Maegesho ya Magari eneo la viwanja vya Mchangani Wilaya ya Mjini Unguja, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza Meneja Mradi wa Ujenzi wa Maegesho ya Magari.Ndg. Said Salum Hamad, unaojengwa katika viwanja vya mchangani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, ikiwa ni shamra Shamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.