Beki wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Ibrahim Bacca akimiliki mpira wakati wa mchezo maalum wa ufunguzi wa Uwanja wa Amaan Complex Zanzibar uliofanyika jana usiku baada ya kufunguliwa Uwanja huo ikiwa ni Shamrashamra za Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.Timu hizo zimetoka sara ya bila kufungana.
NBAA YAENDESHA WARSHA KUHUSU TAARIFA ENDELEVU''SUSTAINABILIY REPORTING"
-
Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) imeendesha
warsha ya siku nne kuhusu uandaaji wa muongozo na ripoti kuhusu masuala ya...
37 minutes ago
No comments:
Post a Comment