MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama
Mariam Mwinyi, akiwa na Viongozi wa CCM na UVCCM, wakiwa katika viwanja vya
Ikulu Jijini Zanzibar, wakati ukipigwa Wimbo wa Taifa na wa Afrika Mashariki
kabla ya kuaza kwa hafla ya dhifa maalum aliyowaandalia Vijana wa Jumuiya ya Umoja
wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) katika viwanja vya Ikulu Jijini
Zanzibar jana usiku 9-1-2024
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar
Mhe.Jamal Kassim Ali akiwa na Viongozi wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama
Cha Mapinduzi (UVCCM) wakiwa katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar wakati
ukipigwa wimbo wa Taifa na wa Afrika Mashariki kabla ya kuaza kwa hafla ya
dhifa maalum ya chakula cha usiku iliyoandaliwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama
cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe Dk.Hussein Ali Mwinyi iliyofanyika katika viwanja vya
Ikulu Jijini Zanzibar
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa
Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa Ndg. Mohammed Ali Kawaida akizungumza kabla
ya kumkaribisha Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae
pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi kuzungumza na Vijana wa (UVCCM) katika viwanja vya Ikulu Jijini
Zanzibar, wakati wa hafla maalum aliyowaandalia jana usiku 9-1-2024.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Viongozi wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana
wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar, wakati
wa hafla ya dhifa maalum ya chakula cha usiku aliyowaandalia jana usiku
9-1-2024 katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Viongozi wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana
wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar, wakati
wa hafla ya dhifa maalum ya chakula cha usiku aliyowaandalia jana usiku
9-1-2024 katika viwanja vya Ikulu Zanzibar
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar Mhe.
Jamali Kassim Ali akiwa na Viongozi wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha
Mapinduzi (UVCCM) wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Zanzibar, ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na Viongozi wa Jumuiya
ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) katika viwanja vya Ikulu
Jijini Zanzibar jana usiku 9-1-2024, katika dhifa maalum ya chakula cha usiku
kilichofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar
VIONGOZI wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama
Cha Mapinduzi (UVCCM) wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi
(CCM) Zanzibar, ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi. Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na Viongozi
wa Jumuiya hiyo, katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar jana usiku 9-1-2024, wakati
wa hafla ya dhifa maalum ya chakula cha
usiku alichowaandalia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwa
katika picha ya pamoja na Viongozi wa Chupikizi Taifa (kulia kwake ) Mwenyekiti
wa Chupikizi Taifa Ndg. Qayllah Nassor Bilal na (kushoto kwake) Makamu
Mwenyekiti wa Chupukizi Taifa Ndg.Atka Juma Hassan, baada ya kumalizika kwa
dhifa maalum ya chakula kilichoandaliwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha
Mapinduzi (CCM) Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, katika viwanja vya Ikulu
Jijini Zanzibar jana usiku 9-1-2024
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Makamu Mwenyekiti wa
Chupukizi Taifa Ndg. Atka Juma Hassan, baada ya kumalizika kwa hafla maalum ya
chakula cha usiku alichowaandalia Viongozi wa (UVCCM) katika viwanja vya Ikulu
Jijini Zanzibar jana usiku 9-1-2024.
VIONGOZI wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama
Cha Mapinduzi (UVCCM) wakiwa katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar
wakishangilia wakati Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Viongozi hao, wakati wa dhifa maalum
ya chakula cha usiku alichowaandalia jana usiku katika viwanja vya Ikulu
Zanzibar jana 9-1-2024
No comments:
Post a Comment