Habari za Punde

Mchezaji wa Timu ya Singida FG. Aibuka Mchezaji Mwenye Nidhamu Wakati wa Mchezo wa Kombe la Mapinduzin Dhidi ya Simba

Mkurugenzi Mkuu wa City College of Health Ilala Shambani Mwanga akimkabidhi zawadi Mchezaji wa Timu ya Singida FG. Kelvin Kijili baada ya kuibuka Mchezaji mwenye nidhamu katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi Cup 2023/2024, dhidi ya Timu ya Simba mchezo uliyofanyika Uwanja wa Amaan Complex Zanzibar katika mchezo huo Timu ya Simba imeshinda kwa bao 2-0.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.