Habari za Punde

Rais wa Zanzibar nav Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Mwinyi Ahutubia na kuuaga Mwaka 2023 na Kuukaribisha Mwaka Mpya 2024

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisoma Risala ya kuuaga mwaka 2023 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2024,hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.