Habari za Punde

Simba Yaiendesha Puta Timu ya JKU Michuano ya Kombe la Mapinduzi Cup 2023/2024 Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Complex Imeshinda Bao 3-1

Mshambuliaji wa Timu ya Simba akiwapita mabeki wa Timu ya JKU wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi Cup 2023/2024 mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Complex Zanzibar jana usiku 1-1-2024.Timu ya Shimba imeshinda mchezo huo kwa bao 3-1.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.