Wachezaji wa Timu ya Jamhuri wakishangilia bao lao la Pili la ushindi dhidi ya Timu ya Jamus lililofungwa na mshambuliaji wake Abdillah Ramadhani katika dadika ya 65 ya mchezo huo kipindi cha pili.Katika mchezo huo Timu ya Jamhuri imeshinda kwa bao 2-1.
Timu ya Jamhuri imefanikiwa vkuingia robo Fainali ya Michuano ya Kombe la Mapinduzi Cup 2023/2024.
No comments:
Post a Comment