Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussei Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Balozi Mdogo wa China hapa Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng, wakati alipofika kumuaga Rais, Ikulu Jijini Zanzibar leo akiwa amemaliza muda wake wa kazi hapa Nchini
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussei Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Balozi Mdogo wa China hapa Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng (wa pili kushoto) alipofika kuaga Ikulu Jijini Zanzibar leo akimaliza muda wake wa kazi hapa nchiniRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussei Ali Mwinyi (kulia) akimkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar Balozi Mdogo wa China hapa Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng, baada ya mazungumzo yao leo alipofika kuaga Ikulu Jijini Zanzibar akimaliza muda wake wa kazi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussei Ali Mwinyi (kulia) akiwa katika picha na Balozi Mdogo wa China hapa Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng baada ya mazungumzo yao leo alipofika kuaga Ikulu Jijini Zanzibar.
Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment