Habari za Punde

DKT NCHEMBA AFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU WAZIRI WA USHIRIKIANO WA MAENDELEO YA KIMATAIFA WA SWEDEN

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, akiwa na Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Maendeleo ya Kimataifa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Sweden, Mhe. Diana Janse, walipokutana na kufanya mazungumzo, jijini Dodoma, ambapo Naibu Waziri huyo, amemweleza Mhe. Dkt. Nchemba kuwa, nchi yake inaandaa Mkakati Mpya wa Ushirikiano kati ya nchi hizo mbili unaolenga kuongeza ushirikiano katika Nyanja za kiuchumi na kibiashara.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, akimkabidhi zawadi ya bidhaa za Tanzania, Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Maendeleo ya Kimataifa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Sweden, Mhe. Diana Janse, walipokutana na kufanya mazungumzo jijini Dodoma, ambapo Naibu Waziri huyo, amemweleza Mhe. Dkt. Nchemba kuwa, nchi yake inaandaa Mkakati Mpya wa Ushirikiano kati ya nchi hizo mbili unaolenga kuongeza ushirikiano katika Nyanja za kiuchumi na kibiashara.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.