Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Isdor Mpangi Akabidhiwa Kitabu cha Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akikabidhiwa Kitabu cha Safari ya Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Picha na Balozi wa Tanzania nchini Italia ambaye ni mmoja wa Waandaaji wa Kitabu hicho Mhe. Mahmoud Thabit Kombo. Makabidhiano hayo yamefanyika OfisiNI kwa Makamu wa Rais mkoani Dodoma.


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.