RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Ujumbe wa
Kampuni ya WAPCOS kutoka Nchini India ukiongozwa na Mwenyekiti na Mkurugenzi
Mtendaji wa Kampuni hiyo Bw. Rajni Krant Agrawal (kulia kwa Rais) mazungumzo
hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 7-5-202
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake
Mwenyekiti na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya WAPCOS kutoka Nchini India Bw.
Rajni Kant Agrawal, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini
Zanzibar leo 7-5-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalum ya Kitabu
kinachoelezea kampuni ya WAPCOS na Mwenyekiti na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni
hiyo Bw.Rajni Krant Agrawal, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika
katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 7-5-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Mwenyekiti na
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya WAPCOS kutoka Nchini India Bw. Rajni Kant
Agrawal , baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu
Jijini Zanzibar leo 7-5-2024.
No comments:
Post a Comment