Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Zubeir Ali Maulid akitoa ufafanuzi kwa baadhi ya maswali yaliyoulizwa na wanafunzi wa Skuli ya Leera International School wakati walipofika Baraza la Wawakilishi kwa ajili ya mafunzo ya shughuli za Kibunge.
0 Comments