Habari za Punde

WAZIRI MKUUAFUNGUA MAADHIMISHO YA SIKU YA MKUNGA DUNIANI

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi alipowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam kufungua  Maadhimisho ya Siku ya Mkunga Duniani, Mei  5, 2024. Wa pili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chlamila na wa tatu  kulia ni Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo mafupi kutoka kwa Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu alipowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar Es Salaam kufunguai Maadhimisho ya Siku ya Mkunga Duniani
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa,   Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu  (kushoto) na rais wa Chama cha Wakunga Tanzania (TAMA)  Dkt. Beatrice  Mwilike (kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na Wakunga Mahiri ambao Waziri Mkuu aliwatunuku vyeti vya kutambua umahiri wao wa kufanya kazi  kwa ufanisi  katika  maafa. Wakunga hao ni Theodora Nakei ( wa pili kushoto) ambaye alifanya kazi  kipindi cha maafa ya maporomoko ya udongo eneo la Gendabi wilayani Hanang na Ananyise Makyao ambaye alifanya vizuri katika maafa ya mafuriko Rufiji.  Tukio hilo lilifanyika wakati Waziri Mkuu alipofungua Maadhimisho ya Siku ya Mkunga Duniani kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijni Dar es salaam.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.