Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti wa Adani Group kutoka nchini India Gautam Adani mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mwenyekiti wa Adani Group kutoka nchini India Gautam Adani Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 14 Juni, 2024.
JITOKEZENI KUJIANDIKISHA - DC MPOGOLO.
-
MKUU wa wilaya ya Ilala, mkoani Dar es salaam, Edward Mpogolo ameshiriki
zoezi la kujiandikisha katika maboresho ya Daftari la kudumu la mpiga kura ...
26 minutes ago
No comments:
Post a Comment