RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na mgeni wake Rais wa Jamhuri
ya Msumbuji Mhe. Philipe Jacinto Nyusi, alipowasili Ikulu Jijini Zanzibar kwa
mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 4-7-2024,
akiwa Zanzibar kwa ziara ya siku moja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Rais wa Jamhuri
ya Msumbiji Mhe.Philipe Jacinto Nyusi (kulia kwa Rais) na ujumbe wake mazungumzo
hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 4-7-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumza na mgeni wake Rais
wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Philipe Jacinto Nyusi, mazungumzo hayo
yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 4-7-2024, akiwa
Zanzibar kwa ziara ya siku moja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumza na mgeni wake Rais
wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Philipe Jacinto Nyusi, mazungumzo hayo
yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 4-7-2024, akiwa
Zanzibar kwa ziara ya siku moja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Rais wa Jamhuri
ya Msumbiji Mhe. Philipe Jacinto Nyusi, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika
ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 4-7-2024, akiwa Zanzibar kwa ziara ya siku
moja.

Mapinduzi Mhe.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake
Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Philipe Jacinto Nyusi, baada ya kumaliza
mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo
4-7-2024, akiwa Zanzibar kwa ziara ya siku moja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya
Msumbiji Mhe. Philipe Jacinto Nyusi, baada ya kumaliza mazungumzo yao
yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 4-7-2024, akiwa
Zanzibar kwa ziara ya siku moja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi maalumu ya picha ya
jengo la Beit Al-Jaib Zanzibar,mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji
Mhe.Philipe Jacinto Nyusi, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika
katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 4-7-2024.akiwa Zanzibar kwa ziara ya
siku moja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi wakiwa katika tabasamu na mgeni wake Rais
wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Philipe Nyusi, baada ya kumaliza mazungumzo yao
yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 4-7-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongozana na mgeni wake Rais wa Jamhuri
ya Msumbiji Mhe. Philipe Jacinto Nyusi, baada ya kumaliza mazungumzo yao
yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 4-7-2024, akiwa
Zanzibar kwa ziara ya siku moja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuagana na mgeni wake Rais
wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe.Philipe Jacinto Nyusi, baada ya kumaliza mazungumzo
yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 4-7-2024.

No comments:
Post a Comment