Habari za Punde

MAZIKO YA ALI MOHAMED KIBAO JIJINI TANGA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni akishiriki mazishi ya Kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo,Marehemu Ali Mohamed Kibao aliyetekwa na kukutwa ameuawa siku chache zilizopita ambapo amzishi yake yamefanyika leo jijini Tanga.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.